Thursday, July 20, 2017July 20, 2017
Video | Kenzo – Niambie
By Punch Tanzania
Thursday, July 20, 2017
Msanii Kenzo kutoka Kenya ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Niambiea’ baada ya kukaa kimya kwa kipidi kirefu. Wimbo huo ambao utapatikana kwenye albamu yake mpya ‘Love Life’ umetayarishwa na Tony Alpha wakati video imeongozwa na Edvine Maloba.