Subscribe Us

Recent Posts

Labels

Holz tz

Ticker

6/recent/ticker-posts

RECENT IN VIDEO

Featured Post

VIDEO | Vanillah – Nilimpenda Sana

 

Search This Blog

Follow us

AUDIO

5/AUDIO/post-list
ALBUM

Labels List

Contact Form

Name

Email *

Message *

Footer Logo

Footer Logo

Content Marketing In Album

[ALBUM][recentmag]

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image

KITAMBO PLAYLIST

Facebook


Labels Cloud

Latest

latest

ALBUM/EP

5/ALBUM/post-list

About us

How accessories make you a better lover. 18 ways devices are completely overrated. Operating systems in 12 easy steps.

50 CENT BADO ANAKINUKISHA KWENYE EFFEN VODKA

Thursday, July 20, 2017


Baada ya ripoti ambayo ilitolewa na Break Fast Club kuwa 50 Cent kwamba ameuza hisa za kinywaji chake cha EFFEN Vodka kwa mtonyo wa dola Milioni 60, Rapper 50 Cent ametusanua kwamba bado yupo kwenye brand kama kawaida licha ya kuuza hisa hizo.

Goods thing ni kwamba rapper bado upo kwenye brand kama kawaida na moja ya commenti ambayo alitusanua nayo kwenye Instagram ilikuwa inasema kwamba “Am still on the brand I just got some cake out of the deal”. Kingine kizuri ambacho kimeyuaminisha zaidi ni kwamba Hata wamiliki ambao wanamiliki kinywaji hicho cha EFFEN VODKA wamefunguka kwamba 50 Cent bado yupo anashirikiana na kampuni hiyo.

Ballerific Comment Creepin ---- 🌾👀🌾 #50Cent #commentcreepin

A post shared by Baller Alert (@balleralert) on