Subscribe Us

Recent Posts

Labels

Holz tz

Ticker

6/recent/ticker-posts

RECENT IN VIDEO

Featured Post

VIDEO | Vanillah – Nilimpenda Sana

 

Search This Blog

Follow us

AUDIO

5/AUDIO/post-list
ALBUM

Labels List

Contact Form

Name

Email *

Message *

Footer Logo

Footer Logo

Content Marketing In Album

[ALBUM][recentmag]

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image

KITAMBO PLAYLIST

Facebook


Labels Cloud

Latest

latest

ALBUM/EP

5/ALBUM/post-list

About us

How accessories make you a better lover. 18 ways devices are completely overrated. Operating systems in 12 easy steps.

CHINGY AMERUDI UPYA KWENYE INDUSTRY YA HIPHOP

Friday, October 13, 2017


Unajua ni takribani miaka 10 sasa tangu tulipomwona mara ya mwisho ya rapper Chingy ameachia Album yake, Kitu kizuri ni kwamba Mzee Mzima Chingy kama anarudi na ujazo mwingine mpya baada ya kusaini dili nono na Bungalo Records.

Ishu kubwa ambayo inaendelea sasa ni kwamba kazi hizo ambazo atakuwa anaziachia Chingy zitakuwa zinasambazwa Exclusively na Universal Music Group, licha ya kazi zake kusambazwa na Universal Music Group, bado atakuwa na uwezo mkubwa wa kufanya lolote lile katika kazi zake kama zitakuwa haziendi vizuri.

Unajua mara ya mwisho rapper Chingy aliachia Album yake mwaka 2007, kwa muda wote huo alikuwa bize kuachia Mixtape zake ambazo mara ya mwisho aliaachia 2016.

Kwahiyo Mpnago mzima ni kwamba Mashabiki wakae mkao mzuri wa kupokea kazi mpya kutoka kwa rapper Chingy.