Blac Chyna aamua kuirudia njia yake ya zamani kujitafutia mkwanja baada ya kuachana na Rob Kardashian kupitia picha za uchi zilizotumwa kwenye mtandao wa Instagram.
Kupitia ripoti ambayo imetolewa na TMZ, imefunguka kwamba Blac Chyna ameamua kurudi kwenye biashara yake ya Kuhost Strip Club na muonekano wake wa kwanza utaanza kuonekana katika klabu ya Ace of Diamonds huko West Hollywood na kitu kizuri ni kwamba popote atakapo kanyaga ndani ya klabu basi atakuwa anaingiza $10,000 sawa na kama milioni 22 na ushwee za kibongo.
Friday, July 14, 2017July 14, 2017
ENTERTAINMENT | BLAC CHYNA AAMUA KURUDI HUKU SASA
By Punch Tanzania
Friday, July 14, 2017